Alexander 2nd Great

Monday, October 29, 2012




Title : Sungkyunkwan Scandal (2010) (K-Drama)
Number of Episodes: 20
Date Aired (YYYY-MM-DD): 2010-Aug-30 to 2010-Nov-02
More Info: http://wiki.d-addicts.com/Sungkyunkwan_Scandal
Summary:

Sungkyunkwan Scandal is set in Sungkyunkwan University in the late Joseon era during the reign of King Jeongjo, revolving around the exploits and love stories of four youths. When her younger brother’s illness worsens and their family is in danger of being evicted from their house for lack of money, Kim Yoon Hee enters the school under his name, disguised as a boy in her desperation to support him. There, she becomes friends with the intelligent and upright Lee Sun Joon, the playboy Goo Yong Ha and rebellious Moon Jae Shin.
Download Links:


NOTES
Some of the files have been mis-renamed and have extension such as the following: _mkv, _mp4, _part, _avi, _zip, 001(2) and _rar. If you run across such files, just rename the underscore (_) with a period (.)
You might not be able to access the file host because the link protector is being blocked in your country. We will no longer provide direct/original links, so no need to ask. Also, we won’t change the link protectors.
Before you post a comment complaining that a link is dead, try checking ALL the other file hosts.
Go here to post Missing or Dead Links: http://doramax264.com/restore
Some of the filenames have been changed. However, the subtitle filenames haven’t been changed. For the subtitles to appear, both the videos’ and subtitles’ filenames have to be the same, excluding the extension.
Some files might be out of order, so be sure to skim through all the filenames before complaining that a file is missing.
Some split filenames may be slightly different than others. For example, one might contain the year while the other doesn’t. To rejoin the files, the filenames must be the same, excluding the part number. Rapidshare


Sungkyunkwan_Scandal_01.part1.rar https://safelinking.net/p/7e2d1edc90

Sungkyunkwan_Scandal_01.part2.rar https://safelinking.net/p/c3b9be5e80

Sungkyunkwan_Scandal_02.part1.rar https://safelinking.net/p/5de691f269

Sungkyunkwan_Scandal_02.part2.rar https://safelinking.net/p/340aecf024

Sungkyunkwan_Scandal_03.part1.rar https://safelinking.net/p/a7d42eb162

Sungkyunkwan_Scandal_03.part2.rar https://safelinking.net/p/5aa51eee56

Sungkyunkwan_Scandal_04.part1.rar https://safelinking.net/p/1265d189d7

Sungkyunkwan_Scandal_04.part2.rar https://safelinking.net/p/84bb1599df

Sungkyunkwan_Scandal_05.part1.rar https://safelinking.net/p/089a08484c

Sungkyunkwan_Scandal_05.part2.rar https://safelinking.net/p/c3338c4e2a

Sungkyunkwan_Scandal_06.part1.rar https://safelinking.net/p/7d1c83ce62

Sungkyunkwan_Scandal_06.part2.rar https://safelinking.net/p/cbe45e31cf

Sungkyunkwan_Scandal_07.part1.rar https://safelinking.net/p/016b3e8168

Sungkyunkwan_Scandal_07.part2.rar https://safelinking.net/p/7a63862b46

Sungkyunkwan_Scandal_08.part1.rar https://safelinking.net/p/da1f84994f

Sungkyunkwan_Scandal_08.part2.rar https://safelinking.net/p/7358316c93

Sungkyunkwan_Scandal_09.part1.rar https://safelinking.net/p/441c388f4e

Sungkyunkwan_Scandal_09.part2.rar https://safelinking.net/p/fc5a1546d9

Sungkyunkwan_Scandal_10.part1.rar https://safelinking.net/p/0c5c8f47ac

Sungkyunkwan_Scandal_10.part2.rar https://safelinking.net/p/b4a769fa7f

Sungkyunkwan_Scandal_11.part1.rar https://safelinking.net/p/a05e38a8e9

Sungkyunkwan_Scandal_11.part2.rar https://safelinking.net/p/0fffd7efdb

Sungkyunkwan_Scandal_12.part1.rar https://safelinking.net/p/2367b326c2

Sungkyunkwan_Scandal_12.part2.rar https://safelinking.net/p/9b2f2d88b3

Sungkyunkwan_Scandal_13.part1.rar https://safelinking.net/p/c1aa41fdf4

Sungkyunkwan_Scandal_13.part2.rar https://safelinking.net/p/75fae66af8

Sungkyunkwan_Scandal_14.part1.rar https://safelinking.net/p/ca14179bd0

Sungkyunkwan_Scandal_14.part2.rar https://safelinking.net/p/3232cbee44

Sungkyunkwan_Scandal_15.part1.rar https://safelinking.net/p/21e8090f1c

Sungkyunkwan_Scandal_15.part2.rar https://safelinking.net/p/1098246b1c

Sungkyunkwan_Scandal_16.part1.rar https://safelinking.net/p/921a000700

Sungkyunkwan_Scandal_16.part2.rar https://safelinking.net/p/8165efda7d

Sungkyunkwan_Scandal_17.part1.rar https://safelinking.net/p/3852744e68

Sungkyunkwan_Scandal_17.part2.rar https://safelinking.net/p/4907825aa3

Sungkyunkwan_Scandal_18.part1.rar https://safelinking.net/p/fa318a47ee

Sungkyunkwan_Scandal_18.part2.rar https://safelinking.net/p/b5a39bda9c

Sungkyunkwan_Scandal_19.part1.rar https://safelinking.net/p/b0ea7382e1

Sungkyunkwan_Scandal_19.part2.rar https://safelinking.net/p/98de91d77a

Sungkyunkwan_Scandal_20.part1.rar https://safelinking.net/p/9e5f5a498f

Sungkyunkwan_Scandal_20.part2.rar https://safelinking.net/p/1c9d989a02
Vigogo 10 wahusishwa mabilioni ya Uswisi
     Mheshimiwa Zitto Kabwe

mwanzo Habari kitaifa kitaifa Vigogo 10 wahusishwa mabilioni ya Uswisi Share bookmark Print Email Email this article to a friend Friend's Email Address Your Email Message Submit Cancel Rating Mheshimiwa Zitto Kabwe By Boniface Meena (email the author) Email this article to a friend Friend's Email Address Your Email Message Submit Cancel Posted Monday, October 29 2012 at 07:57 In Summary ZITTO ASISITIZA NYARAKA ZIPO, DK HOSEAH NDIYE ANAYEZIZUIA SHARE THIS STORY VIGOGO 10 wametajwa kuhusika katika kashfa ya kuficha Sh303.7 bilioni katika benki mbalimbali nchini Uswisi. Katika orodha hiyo inadaiwa kuwa yupo kiongozi mmoja mwandamizi mstaafu, maofisa watatu wastaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), mawaziri wastaafu ambao baadhi yao bado ni wabunge na aliyewahi kuwa kiongozi mwandamizi wa Benki Kuu Tanzania (BoT). Majina hayo ambayo mwandishi wetu amefanikiwa kuyaona, yamo katika orodha ya mchunguzi mmoja wa kimataifa wa masuala ya ufisadi (jina tunalo). Juzi, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alimshukia Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah akimtuhumu kuandika barua Uswisi akisema Tanzania haina masilahi na mabilioni ya fedha yaliyofichwa katika benki zilizopo nchini humo. Hata hivyo, Dk Hoseah alikanusha madai hayo akisema hajawahi kufanya hivyo. Akizungumza jana Zitto alisisitiza kauli yake akisema: “Sijawahi kumsema Dk Hoseah kwa lolote, kwa nini leo nimsingizie? Yeye mwenyewe anajua ushirikiano niliompa wakati wabunge wanapinga yeye asichunguze malipo ya posho mara mbili kwa wabunge.” “Nilisimama kidete kusema Takukuru wapo sahihi na mimi nilikwenda mwenyewe kwao kuhojiwa na kuagiza wajumbe wa kamati yangu (Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma), waende kuhojiwa. Spika aliyestaafu (Samuel Sitta) akaizima kashfa ya wabunge kupokea posho mara mbilimbili. Mwulizeni amesahau? Sasa leo nimzushie ili iwe nini?.” Alisema orodha ya Watanzania wenye fedha huko Uswisi, ipo na ameiona na nyaraka zinaweza kutolewa kwa taasisi za Serikali tu. “Dk Hoseah kazuia nyaraka hizo. Akitaka nimwonyeshe mtu anayeweza kutoa nyaraka hizo, nipo tayari isipokuwa aahidi kuiweka wazi,” alisema Zitto. Alisema katika orodha ambayo Waziri wa Fedha wa Ufaransa anayo, kuna Watanzania lakini akaituhumu Serikali akisema haitaki kufuata njia halali za kupata orodha hiyo kwa kuwa viongozi wengi na wafanyabiashara wakubwa wana akaunti katika benki za Uswisi. Juni 26, mwaka huu gazeti hili lilichapisha habari kuhusu utoroshwaji wa fedha hizo na kueleza kuwa Polisi wa Kimataifa (Interpol) nchini kwa kushirikiana na Takukuru inachunguza suala hilo. Kiasi hicho cha fedha kimedaiwa kuingizwa katika akaunti za Watanzania na kampuni moja ya uchimbaji mafuta na kampuni kadhaa za uchimbaji madini ambazo zinafanya kazi Tanzania. Chanzo hicho kiliongeza kwamba kiasi hicho cha fedha kipo katika akaunti sita tofauti zinazomilikiwa na Watanzania wakiwamo wanasiasa wakubwa. Hata hivyo, chanzo hicho kilieleza kuwa tangu akaunti hizo zifunguliwe, wamiliki wake halali hawajawahi kuingiza hata shilingi. “Uchunguzi wetu unaonyesha kuwa fedha hizo zipo katika akaunti sita tofauti ambazo zinamilikiwa na wanasiasa wakubwa nchini na wenzetu wa Uswisi wameeleza fedha hizo zimeingizwa na kampuni kadhaa ambazo zinahusika na mafuta pamoja na madini hapa nchini,” kilidokeza chanzo hicho. Kugundulika kwa kiasi hicho cha fedha katika benki za Uswisi ni kutokana na ripoti ya Benki ya Taifa ya Uswisi (SNB) iliyotolewa mwaka huu.