Alexander 2nd Great

Saturday, June 16, 2012


Twiga Stars Yanyukwa Na Ethiopia 1-0 Uwanja Wa Taifa




Mchezaji wa timu ya Twiga Stars, Mawanahamisi Omary akiondoka na mpira kuelekea goli la timu ya Ethiopia huku mabeki wa timu hiyo wakiwania mpira huo katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe la mataifa ya Afrika zitakazofanyika mwaka ujao, mchezo huo umefanyika kwenye uwanja wa Taifa wa Dar es salaam.





Wachezaji wa timu za wanawake wa Tanzania na Ethiopia wakiingia uwanjani tayari kwa kuanza mchezo. Chanzo: www.fullshangweblog.com

No comments:

Post a Comment