KINANA AITEMBELEA FAMILIA ILIYOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYANGA MJINI
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa pole Nassoro Rashid Tinde
mmiliki wa duka la vipuri vya magari Tinde Store lililotekea kwa moto
jana usiku,Shinyanga.
Katibu
Mokuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia jinsi moto
ulivyoteketeza Duka la Tinde Store lililopo mtaa wa Nkurumah
,Shinyanga mjini kushoto ni mmiliki wa duka hilo Rashid Nassoro.
Seif Ally akionyesha namna duka lilivyoteketea.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapa pole majirani waliomsaidia
Ndugu Nassoro Rashid kuzima moto uliounguza Duka la Vipuri vya magari
pamoja na nyumba.
No comments:
Post a Comment